January 8, 2015

8 PICHAZ: KUONGEZA MAKALIO KWAMPONZA MREMBO HUYU! JIONEE HAPA MWENYEWE !!


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 27 kutoka Brazilia jina lake ni Andressa Urach ametumia zaidi ya mwezi akiwa ICU baada ya kujaribu kukuza makalio yake ila kwa bahati yakaomtokea puani na misuli yake ikaharibika baada ya kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake. Ebu zotazame picha hizi hapa chini.

Baada ya kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake alirepoti kwa daktari aliyemfanyia upasuaji kwa hayupo huru wakati akitembea dawa ambazo huwa wanatumia kwa ajili ya kuongeza makali yao zinajulikana kwa jina la hydrogel.
Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa hospital kwa matibabu zaidi.

 
Mwanzoni alikuwa hivi tizama picha hapo chini!

No comments:

Post a Comment