October 10, 2014

WOLPER AJA NA STAIL MPYA KUWAFUNIKA MASTAA TAZAMA HAPA ILIVYO....

Wolper katika pozi!
Kwa wale wenzangu na mimi ambao mpo Instagram mtakubaliana na mimi kua Jackline Wolper ni mmoja kati ya wasanii wachache wa kike wanaoongoza kwa kupiga pamba. Baada ya watu kumzoea akiwa na nywele ndefu jana Wolper ametupia picha za muonekano wake mpya akiwa kanyoa nywele zake na kubakiza zikiwa fupi.

Wengi wa waliotoa maoni kuhusu mwonekano wake huo mpya walimpongeza kuwa kapendeza. Je, wewe ukiwa kama msomaji wa blog hii una maoni gani?!
Tazama picha hizi hapa chini... 

No comments:

Post a Comment