Watoto mapacha Eliud (kushoto) na mwenzake Elikana, wakiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Kasumulu wilayani Kyela, Mkoani Mbeya juzi. Watoto hao waliozaliwawameungana walifanyiwa upasuaji nchini India Desemba 16 mwaka jana, upasuaji uliochukua saa 12 ulioghalimu kiasi cha sh100milioni. Elikana ameanza kuetembea huku mwenzake, akiwa katika hatua ya kutambaa.
mungu awajaalie umri mref zaid
ReplyDelete