October 21, 2014

WATANZANIA WAMVAA LUNDENGA LEO ....KUHUSU MISS TZ WAIBUA MAZITO SHUKA NAYO HAPA




kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote
hii ni kwasababu ya

fitna iliyoendelea....
kwakweli hii Miss haijawahi kutokea Tanzania,
wa Tanzania wa sasa sio wa zamani wakuburuzwa buruzwa tuuuu, wanaelwa kila kitu,
maneno mengi yameongelewa na Lundenga

usijiaibishe katika kipindi hiki kigumu.... daaah
inasikitisha but naamini mtalifanyia kazi na
kutujuza wa Tz maana ni mambo ya ajabu vitu
vya ajabu, mara miaka 18, mara 23, mara 25
ilimradi kila mmoja anasema lake.
Lundenga hebu rudisha Miss Tanzania ya
zamani watu wakisikia Miss Tanzania inakuja
tunaanza kutafuta nguo mwezi mmoja maana
lilikuwa moja ya shindano kubwa Tanzania, ila
kwa sasa si apeche si aloloo.... jua umewaudhi
sana watu tena sana, mbona kwa Briggite,
Hapiness hawakusema?? iweje huyu?? kwa kipi
haswa watu wamuonee wivu yeye?? Sitti
anaweza akashindana na Ms Alfred kwa kitu
chochote?? kwanini hawakuwasema hao
waliopita wampinge yeye 
KUPATA HABARI ZETU KIRASHI KABISA UKIWA FACEBOOK BOFYA HAPA KISHA U LIKE
      INFO IS HOT FACEBOOK  

No comments:

Post a Comment