October 20, 2014

VISA!! BEYONCE AAMUA KUONYESHA MAHABA KWA NYANI WAPENA ROMANCE LIVE CHEKI PICHA ZAIDI HAPA


Hivi karibuni mwanamuziki nyota wa Marekani Beyonce, alishea picha zake mbalimbali zilimuonyesha akiwa anacheza na wanyama kwenye siku ya kuzaliwa kwa mwanaye, Ivy Blue kwa pati iliyofanyika ndani ya Miami.

Moja kati ya picha zilimuonyesha akiwa amemkumbatia nyoka wa albino akiwa amemzunguka kwa kupita kwenye shingo yake, huku yeye akionekana kutazama kamera.
 Upendo wake kwa wanyama haukuishia hapo mara baada ya picha ya pili kumuonyesha akiwa anambusu nyani kimtindo. 
        Mcheki hapo chini



KUPATA HABARI ZETU KIRASHI KABISA UKIWA

 FACEBOOK BOFYA HAPA KISHA U LIKE

      INFO IS HOT FACEBOOK  

No comments:

Post a Comment