October 21, 2014

SAD NEWS !! STAA WA MUZIKI WA BONGOFLEVA YP AFARIKI DUNIA RIP YP.............

Taarifa niliyoipata hivi punde inahusiana na msiba wa aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family.
Kupitia Tweet ya Anna Peter aliyoiweka dakika chache zilizopita, amesema amezungumza na meneja wa kundi hilo Said Fella ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia zaidi hapa!

No comments:

Post a Comment