Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Rihanna atakuwa na uhusika mdogo kwenye filamu hiyo na maongezi kati yake na waandaaji yanaendelea. Chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo kuwa Rihanna ataonekana kwenye sehemu chache tu na kuna uwezekano akaimba wimbo kwenye filamu hiyo.
KUTAZAMA VIDEO KALI NA NZURI MOJA KWA MOJA UKIWA FACEBOOK BOFYA HAPA NA KISHA U LIKE FACEBOOK INFO IS HOT
No comments:
Post a Comment