October 4, 2014

PICHA ZAIDI YA 38 ZA MAMISS REDD MISS TANZANIA TALENT 2014 WALIVYOTINGA MSHINDI YUPO HAPA PIA


Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam. 

Tano bora ilikuwa hii



Ommy Dimpoz akiwa kwenye red carpet

Msami akitoa burudani ya nguvu ndani ya Maisha club jijini Dar.

Mambo yalikuwa hivyo kwa baadhi ya washiriki


Mardha John akifanya vitu vyake



Huyu ni balaaaa

Elizabeth Eliud akikizungusha kiuno chake

Dorice Molel akifanya ya kwake kwenye stage

Kwa Naomi Kisaka ilikuwa ni shidaaaaaa

Huyu alikuja kiivi

Sabina Thomas alitoka kivyake vyake

 Weeeeee hii ni shida 

Maureen Godfrey akishake kwenye stage

Majaji wakifuatilia shindano hilo kwa makini

Nicole Franklyn Sarakikya akiimba kwa hisia kali

Hapa ni mwendo wa burudani tu

Ni mwendo wa furaha tu

Camilla John aliimba kwa hisia 

Hii ni kikwetu kwetu

Happy Sosy alikuja kama Beyonce 

Queen Latifa Hamisi yeye aliamua kukata nyonga 

Ni mwendo wa mauno

Ni furaha tu

Ngoma ziliamia India kwa muda

Mc wa mashindano ya Redds Miss Tanzania Talent, Hypeman Hk akifanya ya kwake kwenye jukwaa la New Maisha Club.

Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye stage ya Tanzania Miss Talent iliyofanyika ndani ya New Maisha Club Dar es salaam.

Kazi inendelea hapa 


Majaji wakijadiliana jambo

Ilikuwa ni shidaaaaaa


Ommy Dimpoz (kulia) akiimba pamoja na Christian Bella waimbo wa mama ulioleta amasa kwa mashabiki wake.

Majaji wakiongozwa na Chief jaji Martin Kadinda wakitoa maoni juu ya washiriki walioonesha vipaji vyao
Chief Jaji Martin Kadinda akitangaza washindi




Baadhi ya mashabiki wakifuatilia kwa makini tukio lililokuwa likiendelea.

No comments:

Post a Comment