October 23, 2014

PICHA ZA WASTARA ZA CHUMBANI GUMZO KOTE MTANDAONI ZICHEK HAPA


Zimepita siku kadhaa tangu picha za Wastara na Bond kusambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari zikionesha wawili hao wakiwa kimahaba zaidi na sasa Wastara Juma ameamua kufunguka rasmi.
Wastara alisema “zile picha zote mnazoziona ni picha zimo ndani ya filamu ya Uaminifu Dhaifu ambayo imetoka leo,filamu hiyo nimecheza tofauti na filamu zote nilizocheza kipindi cha nyuma hivyo nimesikitika sana watanzania kuzichukulia tofauti na kuziandikia habari bila kuongea na mimi,naomba mnunue filamu yangu mtaona kilichomo ndani ni filamu nzuri sana niamini mimi”
Kwenye filamu hiyo Wastara amecheza na wasanii wengine kama vile Nsungu,bambo,bond na matumini,inasambazwa na stepsentertainnment.

No comments:

Post a Comment