October 30, 2014

PHD YA DIAMOND AMBAYO ATAANZA KUITWA DOKTA UTATA MTUPU SOMA HAPA..UONE

watafiti wa mambo wanakwambia phd ambayo atatunukiwa diamond siku si nyingi zijazo ni ujanja ujanja wa msanii huyo. chanzo kimedai kuwa msanii huyo baada ya kusikia mwenzake wa kundi la weusi aitwaye nicki wa pili  ametangaza kusomeaphd siku chache zijazo. na kuonekana kuwa atakua ndiye msanii wa kwanza kuwa DR. kwa bongo. diamond ameamua kufanya magumashi ambayo kwa bongo hakuna kinachoshindikana ilmradi tu apewe sifa hiyo na kuweza kuweka historia bongo. chanzo kingine kimefunguka na kudai kuwa ni ujanja wa fiamond hili kujisafisha kwa watanzania na kumpoteza alikiba ambaye smeonekana kuwa tishio maisha ya kimziki ya diamond

No comments:

Post a Comment