Basi la Najmunisa lililokuwa likitokea mwanza kwenda jijini Dar es salaam lilipata ajali mbaya jana usiku kwa kugongana na gari dogo eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari hii, hakukuwa na vifo bali abiria walijeruhiwa na kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi
Kufuatia ajali hiyo polisi walilazimika kuwatimua baadhi ya watu waliokuwa na lengo la kukwapua mali za majeruhi hao ambapo kibonajoro inalaani kitendo hicho ambacho si cha kiungwana hata kidogo.
Kufuatia ajali hiyo polisi walilazimika kuwatimua baadhi ya watu waliokuwa na lengo la kukwapua mali za majeruhi hao ambapo kibonajoro inalaani kitendo hicho ambacho si cha kiungwana hata kidogo.
No comments:
Post a Comment