October 21, 2014

MPYA!!KAULI YA KWANZA YA DIAMOND PLUTINUMZ BAADA YA KUZOMEWA FIESTAA HII HAPA

Kupitia mtandao wa Facebook kwenye Kurasa ya Staa huyu wa muziki ameandika maneno haya kuhusu kile kilichotokea kwenye  Serengeti Fiesta....cheki alichosema


Diamond Platnumz
Liked · 9 hrs · 
 

wakati mwingine unatakiwa tu ubaki na upole wako, nidhamu na heshima kama ulivyozoea... kisha umuachie tu mwenyez mungu.....

kusoma mashabiki walichoandika baada ya diamond kupost hivyo live facebook bofya hapo chini kisha u like

No comments:

Post a Comment