October 10, 2014

MPYA HUU NDI MTI UNAOFANANA NA BINADAMU UNAMAUMBO YA VIUNGO VYOTE VYA MWANAMKE CHEKI HAPA

Watafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti mmoja
 mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke wa kike na kusababisha taharuki kubwan nchini humo
Mti wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana na mwanamke!
Mti wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana na mwanamke!
Habari juu ya maajabu hayo zilirushwa kwenye televisheni moja ya nchini humo na kusababisha wananchi nchini humo kuogopa huku wengine wakisema sasa huu ni mwisho wa dunia.

Hata hivyo maajabu mengine ya mti huo kama unavyoonekana kwenye picha huwa hauoti matawi lakini ni mbichi na ukiusogerea karibu unatoa unakutana na baridi kari zaidi ya ile ya kipupwe”AC” hali inayofanya kuwa kivutio kwa watalii wanaomiminika kuustaajabu.

No comments:

Post a Comment