October 24, 2014

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MH GAMA ASEMA ...KILIMANJARO HAKUNA EBOLA




Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Leonidas Gama amekanusha uvumi ulioenea kuwa yupo mgonjwa wa Ebola mkoani hap,akizungumza na wandishi wa habri amesema ni uvumi tu hakuna ugonjwa wa ebola kilimanjaro mgonjwa aliepo pale anaumwa Maleria Kali.

No comments:

Post a Comment