October 4, 2014

MAKUBWA!!Picha za Wale Mapacha Waliofanikiwa Kuvunja Ndoa ya Rapper Wiz Khlifa Na Amber Rose

Jas & Ness


Jas pamoja na Ness ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja na reality star Amber Rose ambapo mtandao wa TMZ uliripoti kwa Amber alidai mapacha hao wanatoka na mumewe na yeye Amber kuomba Talaka kwa mumewe sasa nimekukusanyia baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri waliofanikiwa kumteka rapper Wiz khalifa....

 


-kishymba

No comments:

Post a Comment