mara kwa mara, you dont do this, you dont do that kama mastaa wengine. Kwahiyo mtu anakuwa disappointed anatoka kwenye maisha yako. Ndio hicho ambacho nimeexperience zaidi kwenye mahusiano yangu yaliyopita.Kwahiyo ukipata mtu ambaye akakuelewa hivyo, inatia moyo kidogo. Ben Pol amesema hata hivyo uhusiano wake na Latifa haujawa rasmi kabisa kwakuwa bado hajaenda kujitambulisha kwao. Lakini at least naweza kusema nina hatua moja katika tano au katika tatu.”

No comments:
Post a Comment