
Katika hali isiyo ya kawaida jana nchini Nigeria katikati ya mitaa ya jiji la Lagos ndege aina ya kunguru alipokua anajaribu kutua juu ya waya ya umeme. Ghafla shoti kali ya umeme ikapiga na baad ya hapo kunguru huyo aligeuka na kuwa binadamu kama unavyoiona picha hiyo hapo juu! Hii dunia ina mambo jamani!
No comments:
Post a Comment