October 30, 2014

KWENU WANAUME MNAOMTAKA ROSE NDAUKA ...HII INAWAHUSU

Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa kujitosheleza kifedha. “Mimi sina bwana kwa sasa na wala sihitaji hao mapedeshee, watanisaidia nini wakati nafanya kazi zangu zinazoweza kuniingizia fedha, nina akili timamu, nina miguu na nina macho sasa kwa nini nitegemee pesa ya mtu?” alihoji Rose.

No comments:

Post a Comment