Picha inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali wakajilia vyao na kutimuka wakimwacha dada mtaroni bila msaada wowote. Pombe ni mbaya jamani eleweni jambo hili msijekupata majanga zaidi.
No comments:
Post a Comment