October 17, 2014

KWAKO MPENZI WA ORIJINO KOMED HILI NDIO LIPYA KUTOKA KWAO YAKAUPASA UFAHAMU....SOMA HAPA

Kundi la vichekesho la orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zwnye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120.

No comments:

Post a Comment