Kwa jina unaweza muita Leilani Franco ana urahia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi backbend umbali wa 20m katika muda wa 10.05 dk katika tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013. Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
Pia kama inavyothaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine, lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwamake huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika.....
Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha Mwili wake.


No comments:
Post a Comment