October 20, 2014

KABANG!!HUSSEN MACHOZI AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA..DUH PICHA HIZI HAPA TAZAMA

 
Hatua ya Mwanamuziki Hussein Machozi kuamia nchini Kenya na kufanya muziki wake huko kimempatia Hadi mke ndoa ina mwaka sasa na ilikuwa ni siri...Kaoa mke Kutoka Mombasa karibu na Tanga Mapenzi yalipozaliwa.

Hussein Machozi Kupitia Ukurasa wake wa facebook amefunguka haya:
 
"Ukiwa umefunga ndoa ya haki usiifiche. Mungu atazidi kukufungulia mengi. 

NDIO ILIKUA NDOA YA HUSSEIN MACHOZI NA SHU YUNUS OMAR. MOMBASA KENYA. NI MWAKA SASAAA"

No comments:

Post a Comment