October 16, 2014

KABANG!! MENEJA WA T I AWASILI DAR KWA AJILI YA KUTOA SEMINA USIKU WA SERENGETI FIESTA

Ikiwa ni siku chache zimesalia za shangwe  za Serengeti Fiesta 2014 zitawale kwa wakazi wa 88.5 Oct 18 Leaders Club Dar es Salaam.Jason Geter ambaye ni meneja wa T.I amewasili usiku wa kuamkia Oct 16 kwaajili ya show ya Fiesta Jumamosi hii.
Jason Geter  ataungana na meneja wa Waje ‘ Cecil Hammond’ kutoa semina kwa wadau wa muziki nchini jinsi msanii anavyotakiwa kujitangaza kibiashara,hukutukiusubiri usiku wa Serengeti Fiesta.



cdt: Millardayo 

No comments:

Post a Comment