October 3, 2014

HUYU NDIO STAA WA KIKE MWENYE SCANDAL CHAFU LAKIN NI TAJIRI KUPINDUKIA

Staa kutoka Nigeria, Maheeda ambaye kila kukicha haishi vituko kwenye mitandao ya kijamii kwa ku-post picha akiwa naked, ila skendo zake anazifanya ila anaakili katika maendeleo kwa sasa yupo katika maandalizi ya kupolomosha mjengo, mastaa wa kike hapa Bongo mpoje au mnajifunza nini kutoka kwa Maheeda 







No comments:

Post a Comment