October 16, 2014

EXCLUSSIVE HUU NDIO UMRI KAMILI WA MISS TANZANIA 2014..NI BAADA YA WATU KUMTUINGIA UMRI NA ELIMU

 Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu!
ULE MZOZO WA UMRI WA MISS TANZANIA 2013 SASA KWISHNEI:Katibu wa kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa amesema kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu amezaliwa mei 31 mwaka 1991 na umri wake sahihi ni miaka 23 na sio miaka 18 kama ilivyozagaa sehemu mbalimbali.
Katibu huyo aliongeza kuwa Sitti ana shahada ya ya uhusiano wa kimataifa na alimaliza masomo yake Desemba mwaka jana katika chuo kikuu cha North Texas kilichoko kwenye jiji la Dallas nchini Marekani.

Sitti Mtemvu bado hajasoma ngazi ya shahada ya uzamili (Masters) kwa sasa ila anatarajiwa kwenda kusoma ngazi hiyo huko nchini Marekani.
Hebu Nipe Mtazamo Wako Juu ya Hili kwa Kuzitazama Vizuri Picha Hizo hapo juu na Ukilinganisha na Maelezo ya Huyo Katibu...

No comments:

Post a Comment