October 24, 2014

DIAMOND AJA KIVINGINE NA YAMOTO BAND CHEK KITU WATACHOFANYA MLIMANI CITY ....



Msanii Diamond (mwenye shati nyeupe) akiwa na Yamoto Band.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo.
WANAMUZIKI Diamond na  Yamoto Band wanatarajiwa kutumbuiza katika tamasha la Siku ya Msanii litakalofanyika  Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo katika ukumbi wa Maelezo , Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii (SYM) , Peter Mwendapole, amewataja wasanii wengine watakaokuwapo ni pamoja na mwanamitindo Asia Idarous, Miss Tanzania, Miss Universe na  wasanii toka Kenya, Erick na Fred Omondi huku mgeni rasmi  akitarajiwa kuwa Makamu wa Rais, Gharib Bilal.

No comments:

Post a Comment