October 18, 2014

CLOUDS FM NA TIMES FM UTATA MTUPU KUHUSU KUSHUKA KWA DAVIDO TANZANIA..CHEK HAPA

Kama unayo kumbukumbu nzuri katika moja ya machapisho ya FichuoTz tulikuletea habari juu ya ujio wa mwanamuziki David Adedeji Adeleke (DAVIDO) kutoka nchini Nigeria ambaye analetwa nchini na kituo cha redio kiitwacho Times Fm. Sasa imebainika kuwa Clouds Fm wamedhamiria kuharibu dili hilo la redio pinzani, na siri hivyo imetolewa na Vinega pamoja na ushahidi wa barua...Fuatilia walichotuambia hapa

No comments:

Post a Comment