October 26, 2014

Big Brother Africa: Mshiriki wa kike wa Tanzania ( Laveda ) anaswa na kamera Akipiga Puli ( Akijichua).....Idris Aingilia kati


Leo ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze. Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburudika vya kutosha na mambo yanayotendeka ndani ya jumba hilo.

Ni Shindano ambalo halikuanzishwa kwa lengo la kuenzi mila na desturi za kiafrika, bali lilianzishwa kwa lengo moja tu la kutoa burudani ya kutosha ambayo mwisho wa siku itawawezesha waanzilishi kujipatia pesa.

Turudi kwenye pointi yetu, kama ilivyo kawaida ya siku ya Ijumaa ndani ya jumba hilo, usiku wa kuamkia leo washiriki walikuwa wakiparty pamoja kwa kucheza na kunywa.

Baada ya burudani hiyo iliyosimamiwa vilivyo na Dj Izzy toka Botswana, dada yetu Laveda ambaye anaiwakilisha Tanzania katika jumba hilo alitoka na kuelekea kitandani.

Akiwa na mzuka wa kutosha, Laveda alijifunika shuka na kuanza kujichua( kupiga puli) pole pole.

Mtu wa kwanza kumshuhuda Laveda "akili PULINETI" ni mwana dada Mam Bea ambaye alistushwa na mnong'ono wa sauti za mahaba .

Ndipo mrembo huyo alipotoka na kuwajuza wenzake ambao hata hivyo hawakuonekana kumjali kwani "Pini" lilikuwa bado linaendelea!
Taarifa hizi zilioneka kumkera Idris ( Mshiriki wa kiume wa Tanzania) ambaye alitaka kulianzisha, bahati nzuri Mr. 265 akaokoa jahazi kwa kumtuliza.

Pamoja na yote, Laveda ni mtu mzima, ana hisia kama binadamu wengine, bado ni mtu ambaye kimaadili anaongoza ndani ya jumba hilo. Kama huamini, tazama video za washiriki wanapokuwa bafuni uone ni jinsi gani anaoga.
Leo ni siku ya 20, nakuhakikishia hutaona video hata moja ikiyaanika maziwa yake hadharani. Ni mtu ambaye huoga na nguo tofauti kabisa na washiriki wengine. 
Kesho jumapili, Mshiriki mmoja au wawili watayaaga mashindano hayo. Laveda ni miongoni mwa watu walioko hatarini kutolewa kesho.
Kura yako inahitajika sana kumfanya asitoke. Kuwa mzalendo, mpigie kura mtanzania mwenzako.
Matukio yote ya big brother yanaruka hewani mtandaoni kupitia www. bigbrotherafricans.com

KAMA UNATAKA KUONA VIDEO KWA URAIHISI KABISA UKIWA KULE FACEBOOK BOFYA NA KISHA U LIKE     FACEBOOK VIDEO KUTOKA BIG BROTHER

No comments:

Post a Comment