September 23, 2014

Vituko vya Majuu!!! Usher Raymond abariki Tumbo Alicia keys....check hapa

Mwanamuziki wa R&B Usher Raymond amembariki Alicia Keys kwa kumshika tumbo. Usher alifanya hivyo kwa kum-admire mama kijacho Alicia Keys tukio hilo lilifanyika Las Vegas, Marekani.


No comments:

Post a Comment