Msanii wa muziki wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond' amemzawadia mpenzi wake Beutiful onyinye Wema Sepetu gari kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Wema Sepetu na kuandika ujumbe huu
Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby!
September 29, 2014
Home
/
Unlabelled
/
ULIONA GARI KALI ...DIAMOND ALIYOMZAWADIA WEMA SEPETU NA KUANDIKA UJUMBE MZITO...
ULIONA GARI KALI ...DIAMOND ALIYOMZAWADIA WEMA SEPETU NA KUANDIKA UJUMBE MZITO...
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment