September 29, 2014

TANZIA.......STAA WA MUZIKI BONGO SIDE BOY AFARIKI DUNIA....






R.I.P SIDE BOY MNYAMWEZI

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama 'Kua uone', 'Usimdharau usiyemjua', Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' amefariki dunia leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo Mkoani Lindi.

R.I.P Side Boy Mnyamwezi.taarifa hii ni kwa mojibu wa channel makin hapa Bongo EA TV ..




No comments:

Post a Comment