Mwimbaji kutoka Canada, Justin Bieber ana mpango wa kuanzisha familia na mpenzi wake Selena Gomez ambaye amevuka naye milima na mabonde ya kuachana na kurudiana.
Chanzo cha karibu na wasanii hao kimeeleza kuwa wamekuwa na muda mzuri wa mahaba huku wakiwa na idea ya kuwa na mtoto.
Ingawa chanzo hicho hakikutaja muda waliopanga kumpata mtoto huyo, kimeeleza kuwa Justin ameendelea kusema kuwa anataka Selena Gomez amzalie mtoto.
“Mwanzoni walipoanza mapenzi, waliahidiana kwamba watakuwa wazazi siku moja, na Justin anaendelea kusema anataka Selena Gomez awe mama wa watoto wake, hasa anapotaka kumfanya afurahi.” Kimeeleza chanzo hicho.

Taarifa hizi ni mbaya kabisa kwa mwigizaji wa kibongo elizabeth michael aka lulu kwani alitegemea sana ombi lake amabalo huwa namtumia kila siku la kumpenda angemuelewa laki hapa tayari mambo yameshakwenda mrama
No comments:
Post a Comment