Tafadhalini sana wadada tuwe makini na vyumba vya kujaribia nguo iwe ni madukani au mitumbani, wauazaji wengine siku hizi ni washenzi wa tabia. Ushahidi wa picha huu hapa, huyu mdada alipigwa picha bila kujua maskini wakati akijaribu nguo dukani.
Taarifa za awali toka kwa wadau wetu zinaarifu kuwa katika baadhi ya sehemu za kuuzia nguo kuna kamera za siri zilizofichwa katika vyumba maalum vya kujaribia nuo hizo...So, tafadhalini tuwe macho haswa wadada maana hali ishakua mbaya...Chunguza chumba kabla hujaanza jaribu nguo!TAZAMA MOVE YA LINNA NA LULU ILIVYO...
September 19, 2014
Home
/
Unlabelled
/
SHOCK!!WADADA TUWE MAKINI NA VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO...HUYU KAPIGWA PICHA BILA KUJIJUA!
SHOCK!!WADADA TUWE MAKINI NA VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO...HUYU KAPIGWA PICHA BILA KUJIJUA!
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment