September 18, 2014

PICHA BINTI WA MIAKA 24 AFUNGA NDOA NA BABU WA MIAKA 87 KISA PESA..MAHABA NIUWEEE SHUKA NAYO HAPA

Binti wa miaka 24Cathy Schmitz afunga ndoa na kibabu chenye umri wa mika 87, Richard Laugner huko Ujerumani. Cathy alikubali kufunga ndoa na billionaire huyo bila kujali umri wala mapenzi ya dhati na hapa akifunguka  “We did not intend to fall in love. It just happened. Love knows no age.” lols! chezea mtonyo wewe ata uwe vipi utakubalika tu,angalia picha zao hapa.












No comments:

Post a Comment