September 9, 2014

NIMEJIFUNZA MENGI KWA DIDA DUH TIKO AFUNGUKA

Msanii wa Bongo muvi, Tiko Hassan ambapo aliambia BK Cop kuwa amejifunza kitu kikubwa sana kupitia mwanadada Dida . Ambaye aliyezindua muvi yake siku ya Jumatano katika Viwanja vya Leaders Club. Tiko aliweza kuizungumzia muvi hiyo ya 'Mateso Yangu' iliyotengenezwa Ughaibuni ambapo aliweza kusema. 
"Nimeweza kujifunza kitu kikubwa sana kupitia  Dada Dida na muvi yake nimeweza  kutambau kuwa unaweza kupata matatizo ukiwa ugenini na kitu alichoweza kukifanya katika uzinduzi huo ni kitu kikubwa sana mimi na wish day moja na mimi nitaweza kuja kuwa kama yeye na kuweza kuifikisha tasnia ya muvi mbali na amini nitaweza kwani naamni hakuna kinacho shindikana chini ya jua."

PICHA TANO RASMI MTANDAONI ZA WAREMBO AMBAO WANADAIWA KUMFUNIKA MASOGANGE LIVE NI HATAREE ZICHECK

No comments:

Post a Comment