September 12, 2014

MTOTO WA MICHAEL JAKSON APATA UJAUZITO AKIWA MDOGO SANA ..SOMA HAPA ILIVYO

Mtoto wa mwanamuziki wa Pop duniani, Michael Jackson, Michael Katherine Jackson aka Paris Jackson(16), hivi karibuni inasemekana ana ujauzito, ingawa mchumba wake hajulikani kwa jina  
Paris Jackson
Paris Jackson ni mtoto wa Michael Jackson ambaye jina lake linasikika sana kwenye upande wa muvi akiwa na umri mdogo, ama kweli usipomjengea mtoto misingi mizuri madhara kama hayo lazima yatokee.

Paris Jackson

No comments:

Post a Comment