Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza kuliko ule wa Kim Kardashian na Ray J.
Rapper wa Houston, Jefe Wine ndiye anayedaiwa kurekodi mkanda huo akifanya mapenzi na Iggy. Wine anadai kuwa Iggy alikuwa akijua kuwa wanarekodi mkanda huo licha ya yeye kudai hakuwa na taarifa.
Hirsh, amesema ameshakutana na Wine kufanya makubaliano ya kuununua. Wanasheria wa Iggy Azalea wamesema wamejiandaa kuchukua hatua za kisheria kutokana na mkanda huo.
Kama ni kweli Iggy yupo kwenye tape hiyo haiwezi kutolewa kihalali bila ridhaa yake.
TAZAMA HAPA KUJUA MAMBO MENGI ZAIDI
September 14, 2014
Home
/
Unlabelled
/
MKANDA WA VIDEO WA MREMBO HUYU AKIWA NA BOY FRIEND WAKE CHUMBAANI WAAMINIKA KUUZA ZAIDI YA WAKIM...HAPA IPO FULL STORI
MKANDA WA VIDEO WA MREMBO HUYU AKIWA NA BOY FRIEND WAKE CHUMBAANI WAAMINIKA KUUZA ZAIDI YA WAKIM...HAPA IPO FULL STORI
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment