September 5, 2014

LAANA YA MWAKA MTOTO AMKUTA MAMA YAKE MZAZI AKIJIUZA KWENYE DANGURO MTOTO ALIA NA WAANDISHI

Na Issa Mnally na Richard Bukosi

SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku.
Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu.SOMA ZAIDI>>
Wakiwa maeneo hayo, waandishi wetu walimuona kijana mmoja akiwa amejiinamia baada ya kumfuata na kumhoji kilichompata, alidai kuwa alipewa taarifa juu ya mzazi wake huyo aliyemtaja kwa jina la mama Husna kujiuza na siku hiyo alimuona akiwa kwenye mawindo.
“Jamani niacheni maana nilichoshuhudia kimeniumiza sana…mama yangu anafikia hatua ya kuja kijiuza huku?...amekosa nini…au ni huu ugumu wa maisha dah…?” Alisikika kijana huyo aliyekuwa akilia.

BOFYA HAPA KUTAZAMA WAREMBO WALIVYOPITA WAKIWA WATUPU MBELE YA KINGI MSWT

No comments:

Post a Comment