.png)
Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angalia Picha Hapo Juu.
No comments:
Post a Comment