


Limeibuka wimbi la wakinadada kuvaa vijinguo ambavyo kwa namna moja huwaacha watu midomo wazi hasa wanapotaka kufanya kitu fulani kama kuinama,kucheza au kufanya chochote zile ngo huwaaumbua na kuwaacha baadhi ya meaneo utupu kabisa hata kama ni fashoooon vaa basi ambayo inakusitiri,,,,,mwili
No comments:
Post a Comment