Katika maelezo yake chini ya picha yake ameandika>>’Napenda kuwashukuru ndugu zangu wote wasanii wenzangu kaka zangu mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu’
‘Nimeamua kujiuzulu uongozi wa Bongo Movie nabaki kuwa mwanachama wa kawaida nina imani tulifurahi pamoja tukahudhunika pamoja na daima tutakuwa pamoja’.


No comments:
Post a Comment