Hosti wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema.Akizungumza na mwanahabari wetu, Zamaradi ambaye pia ni mwigizaji, alisema amekuwa na nia hiyo kabla hajajaliwa mtoto hivyo hata alipopata bado anataka kutimiza ndoto yake hiyo.
“Naumia sana ninapoona watoto yatima japokuwa na mimi ni yatima lakini nia hiyo nilikuwa nayo, natamani sasa kukamilisha ndoto yangu hiyo kwa sababu naamini kabisa nitaweza na Mungu atanisimamia,”alisema Zamaradi.
No comments:
Post a Comment