August 27, 2014

WANAWAKE! NJIA ZA KUMFANYA MUME WAKO ASICHEPUKE WAKATI WOTE ABAKI NJIA KUU

Wamama wengi wanalalama kuwa wanaume zao wanachepuka sana kwa nyumba ndogo, sasa mdada mmoja ameibuka na kujibu dawa ya mwanaume iliasichepuke.
"Mwanaume ni kama mtoto mdogo unaweza ukamfanyia vitu vidogo vidogo na asifikilie kuchepuka, mimi mume wangu akitoka kazini gia ya kwanza ni home simlazimishi ila kutokana na vijimambo vyangu vya uchokozi wa hapa na pale wa kimahaba na huumfanya mume wangu kuwa na furaha anytime na mavazi yangu na chakula nachompikia ni silaa moja wapo ninayotumia, jaman i wanawake wenzangu amkeni wacha kulalamika tuwajibike."- Consolatha

No comments:

Post a Comment