August 24, 2014

UMEIONA MITINDO YA KUSHONA VITENGE KWA WANAWAKE AMBAYO IMETIKISA SOKO!!KAMA WW NI MREMBO USIPITWE NA HII

 


Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze

















No comments:

Post a Comment