August 22, 2014

STAA WA FILAMU AACHIA TENA PICHA ZAKE ZA CHUMBANI MTANDAONI ...MASHABIKI WACHARUKA

Picha ya kimahaba ya kitandani  ya muigizaji kutoka naija...jina lake linaazia na herufi D..nahii sio mara ya kwanza au mara ya pili kwa wasanii hawa wa kuigiza kuvujisha kwamakusudi au kwabahai mbaya picha za namnahii mtandaoni ikiwa ni kwakutafuta ATENSHENI ili wafanye BIZZ....Kimaadili hii sio sawa kabisa

No comments:

Post a Comment