August 8, 2014

MASTAA WAENDELEA KUONGOZA KWA PICHA CHAFU MTANDAONI....zaidi soma hapa

Matumizi mabaya yameendelea kushamili katika mitandao ya kijamii licha ya kwamba mtandao wa Instagram kwa sasa ndio mtandao wenye sheria kali lakini watu bado hawasikii wanaendelea kupost picha chafu huku ni muhimu watu wabadilike ..na hasa picha za mastaa ndio zipo kwa wingi tunaelekea wapi...

No comments:

Post a Comment