Hakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini. Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki katika TV yake. Umaarufu wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC.Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha TV walichokua wakifanya kazi kinasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja.
bado tunaendelea kufuatilia taarifa hzi kwa undani na redio washirika
August 10, 2014
KUNDI LA ZE COMEDY ORIJINO LADAIWA KUVUNJIKA RASMI
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment