August 23, 2014

JIONEE KIPANDE CHA VIDEO YA Prokoto – Victoria Kimani ft Diamond & Ommy Dimpoz! NI SHEEEEDA!



Victoria Kimani ameandika kwenye instagram kwamba anahesabu siku tu hadi video hii itakapo toka rasmi. Video hii ilifanyika kwenye maeneo mbalimbali ya Tanzania chini ya director mkenya Kevin Bosco...Jionee video hiyo hapa chini kwa kubonyeza play!BOFYA HAPA KUITAZAMA

No comments:

Post a Comment