August 28, 2014

JAMAA ALIEKAMATWA NA MKE WA MTU NA KULAWITIWA AAMUA KUJIUA....

Mtuhumiwa wa tukio hilo!
Yule baba aliyelawitiwa bila kinga na jamaa wawili mwenye mke na rafiki baada ya kufumaniwa juzi Mwananyamala Jijini Dar akiwa na mke wa jamaa guest...Jamaa kwa fedheha yakufanyiwa unyama  huo na picha zake kuwa kwenye mitandao amejiua jana na tayari mmoja wa waliomfanyia unyama huo ambaye ni mume wa mke ambaye alifumania amekamatwa na polisi na mwenzake anatafutwa...picha ni chafu sana kuweka hapa... RIP!

No comments:

Post a Comment