August 10, 2014

HILI NDIO BALAA LA SHISHIBABY AKA SHILOLE STEJINI !MASHABIKI WABAKI MDOMO WAZI PICHA 6 ZUPO HAPA

KAMA ULIMISS...BALAA LA SHILOLE KIUNO NI SHEEEDA AISEEE! TAZAMA PICHA ZAIDI YA 30 HAPA!

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia jana.

   
Wacheza show wa msanii wa Shishi Baby wakifanya yao.
Shishi Baby akifanya makamuzi.
Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment